Al-Layl 92:20 الا ابتغاء وجه ربه الاعلى ٢٠
إِلَّا
ٱبۡتِغَآءَ
وَجۡهِ
رَبِّهِ
ٱلۡأَعۡلَىٰ
٢٠
Ila ni kutaka radhi ya Mola wake Mlezi aliye juu kabisa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Lakini anatoa kwa kutaka uso wa Mola wake na radhi zake. Basi Mwenyezi Mungu atampa,