Al-Layl 92:6 وصدق بالحسنى ٦
وَصَدَّقَ
بِٱلۡحُسۡنَىٰ
٦
Na akaliwafiki lilio jema! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
akaamini «Lā Ilāha Illā Allāh» na yanayotakiwa na Imani hiyo na akaamini malipo yanayofungamana nayo,