Al-Layl 92:9 وكذب بالحسنى ٩
وَكَذَّبَ
بِٱلۡحُسۡنَىٰ
٩
Na akakanusha lilio jema! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
akakanusha neno la «Lā Ilāha Illā Allāh» na yanayotakiwa na neno hilo na akakanusha malipo yanayofungamana nalo,