Al-Ma'arij 70:10 ولا يسال حميم حميما ١٠
وَلَا
يَسۡـَٔلُ
حَمِيمٌ
حَمِيمٗا
١٠
Wala jamaa hatamuuliza jamaa yake. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wala mtu hatamuuliza jamaa yake wa karibu kuhusu jambo lake, kwani kila mmoja ameshughulishwa na nafsi yake.