Al-Ma'arij 70:18 وجمع فاوعى ١٨
وَجَمَعَ
فَأَوۡعَىٰٓ
١٨
Na akakusanya mali, kisha akayahifadhi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na akakusanya mali na kuyaweka kwenye mahazina yake na asitekeleze amri ya Mwenyezi Mungu kwenye mali hayo.