Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
070

Al-Ma'arij 70:2 للكافرين ليس له دافع ٢

70:2
لِّلۡكَٰفِرِينَ
لَيۡسَ
لَهُۥ
دَافِعٞ
٢
Kwa makafiri - ambayo hapana awezaye kuizuia . 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

nayo ni yenye kuwashukia bila shaka Siku ya Kiyama.
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 70, Ukurasa 568, Juzuu 29

1. Muulizaji aliuliza juu ya adhabu itakayo tokea! 2. Kwa makafiri - ambayo hapana awezaye kuizuia . 3. Kutoka kwa Mwenyezi Mungu Mwenye mbingu za daraja. 4. Malaika na Roho hupanda kwendea kwake katika siku ambayo kadiri yake ni miaka khamsini elfu! 5. Basi subiri kwa subira njema.Hakika wao wanaiona iko mbali! 6. Hakika wao wanaiona iko mbali! 7. Na Sisi tunaiona iko karibu. 8. Siku ambayo mbingu zitakapo kuwa kama maadeni iliyo yayushwa. 9. Na milima itakuwa kama sufi. 10. Wala jamaa hatamuuliza jamaa yake. 11. Ijapo kuwa wataonyeshwa waonane. Atatamani mkosefu lau ajikomboe na adhabu ya siku hiyo kwa kuwatoa fidia wanawe, 12. Na mkewe, na nduguye, 13. Na jamaa zake walio kuwa wakimkimu, 14. Na wote waliomo duniani, kisha aokoke yeye. 15. La, hasha! Kwa hakika huo ni Moto mkali kabisa, 16. Unao babua ngozi ya kichwa! 17. Utamwita kila aliye geuza mgongo na akageuka. 18. Na akakusanya mali, kisha akayahifadhi.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia