Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
070

Al-Ma'arij 70:20 اذا مسه الشر جزوعا ٢٠

70:20
إِذَا
مَسَّهُ
ٱلشَّرُّ
جَزُوعٗا
٢٠
Inapo mgusa shari hupapatika. 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Yakimpata makero na shida, anababaika sana na kufa moyo.
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 70, Ukurasa 569, Juzuu 29

19. Hakika mtu ameumbwa na papara. 20. Inapo mgusa shari hupapatika. 21. Na inapo mgusa kheri huizuilia. 22. Isipo kuwa wanao swali, 23. Ambao wanadumisha Sala zao, 24. Na ambao katika mali yao iko haki maalumu 25. Kwa mwenye kuomba na anaye jizuilia kuomba; 26. Na ambao wanaisadiki Siku ya Malipo, 27. Na ambao wanaiogopa adhabu itokayo kwa Mola wao Mlezi. 28. Hakika adhabu ya Mola wao Mlezi si ya kuaminika nayo. 29. Na ambao wanahifadhi tupu zao. 30. Isipo kuwa kwa wake zao, au iliyo wamiliki mikono yao ya kuume, basi hao hawalaumiwi 31. Lakini wanao taka kinyume ya haya, basi hao ndio wanao ruka mipaka. 32. Na ambao wanazichunga amana zao na ahadi zao, 33. Na ambao wanasimama imara katika ushahidi wao, 34. Na ambao wanazihifadhi Sala zao. 35. Hao ndio watakao hishimiwa Peponi.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia