Al-Ma'arij 70:21 واذا مسه الخير منوعا ٢١
وَإِذَا
مَسَّهُ
ٱلۡخَيۡرُ
مَنُوعًا
٢١
Na inapo mgusa kheri huizuilia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na yakimpata mambo mazuri na ukunjufu wa maisha, huwa ni mwingi wa kuzuia na.