Al-Ma'arij 70:34 والذين هم على صلاتهم يحافظون ٣٤
وَٱلَّذِينَ
هُمۡ
عَلَىٰ
صَلَاتِهِمۡ
يُحَافِظُونَ
٣٤
Na ambao wanazihifadhi Sala zao. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wale ambao wanatunza utekelezaji Swala wala hawaharibu chochote cha wajibu katika hiyo Swala.