Al-Ma'arij 70:38 ايطمع كل امري منهم ان يدخل جنة نعيم ٣٨
أَيَطۡمَعُ
كُلُّ
ٱمۡرِيٕٖ
مِّنۡهُمۡ
أَن
يُدۡخَلَ
جَنَّةَ
نَعِيمٖ
٣٨
Kwani kila mmoja wao anatumai kuingizwa katika Pepo ya neema? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Je ana tamaa kila mmoja miongoni mwa makafiri kuwa Mwenyezi Mungui Atamuingiza kwenye Pepo ya starehe ya daima? Mambo siyo kama vile wanavyotazamia. Wao hawataiingia hiyo Pepo kabisa.
Je ana tamaa kila mmoja miongoni mwa makafiri kuwa Mwenyezi Mungui Atamuingiza kwenye Pepo ya starehe ya daima? Mambo siyo kama vile wanavyotazamia. W…