Al-Ma'arij 70:41 على ان نبدل خيرا منهم وما نحن بمسبوقين ٤١
عَلَىٰٓ
أَن
نُّبَدِّلَ
خَيۡرٗا
مِّنۡهُمۡ
وَمَا
نَحۡنُ
بِمَسۡبُوقِينَ
٤١
Kuwabadili kwa walio bora kuliko wao; na Sisi hatushindwi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
kuwa Sisi tunaweza kuwaleta watu badala yao walio bora zaidi kuliko wao na watiifu zaidi wa Mwenyezi Mungu. Na hakuna yoyote atakayetushinda na kutuponyoka na kutuelemea iwapo tunataka kumrudisha uhai baada ya kufa.
kuwa Sisi tunaweza kuwaleta watu badala yao walio bora zaidi kuliko wao na watiifu zaidi wa Mwenyezi Mungu. Na hakuna yoyote atakayetushinda na kutupo…