Al-Ma'arij 70:43 يوم يخرجون من الاجداث سراعا كانهم الى نصب يوفضون ٤٣
يَوۡمَ
يَخۡرُجُونَ
مِنَ
ٱلۡأَجۡدَاثِ
سِرَاعٗا
كَأَنَّهُمۡ
إِلَىٰ
نُصُبٖ
يُوفِضُونَ
٤٣
Siku watakapotoka makaburini kwa upesi kama kwamba wanakimbilia mfundo, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Siku watakapotoka makaburini wakienda kwa haraka, kama wlivyokuwa duniani wakienda mbio na haraka kwa waungu wao wakiwaabudu badala ya Mwenyezi Mungu,