Al-Maidah 5:29 اني اريد ان تبوء باثمي واثمك فتكون من اصحاب النار وذالك جزاء الظالمين ٢٩
إِنِّيٓ
أُرِيدُ
أَن
تَبُوٓأَ
بِإِثۡمِي
وَإِثۡمِكَ
فَتَكُونَ
مِنۡ
أَصۡحَٰبِ
ٱلنَّارِۚ
وَذَٰلِكَ
جَزَٰٓؤُاْ
ٱلظَّٰلِمِينَ
٢٩
Mimi nataka ubebe dhambi zangu na dhambi zako, kwani wewe utakuwa miongoni mwa watu wa Motoni. Na hayo ndiyo malipo ya wenye kudhulumu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Mimi nataka urudi ukiwa umebeba dhambi la kuniua mimi na dhambi lililokuwa juu yako kabala ya hilo, upate kuwa ni miongoni mwa watu wa Motoni na watakaosalia humo. Na hayo ndiyo malipo ya wanaofanya uadui.»
«Mimi nataka urudi ukiwa umebeba dhambi la kuniua mimi na dhambi lililokuwa juu yako kabala ya hilo, upate kuwa ni miongoni mwa watu wa Motoni na wata…