Al-Maidah 5:78 لعن الذين كفروا من بني اسراييل على لسان داوود وعيسى ابن مريم ذالك بما عصوا وكانوا يعتدون ٧٨
لُعِنَ
ٱلَّذِينَ
كَفَرُواْ
مِنۢ
بَنِيٓ
إِسۡرَٰٓءِيلَ
عَلَىٰ
لِسَانِ
دَاوُۥدَ
وَعِيسَى
ٱبۡنِ
مَرۡيَمَۚ
ذَٰلِكَ
بِمَا
عَصَواْ
وَّكَانُواْ
يَعۡتَدُونَ
٧٨
Walilaaniwa walio kufuru miongoni mwa Wana wa Israili kwa ulimi wa Daud na wa Isa mwana wa Maryamu. Hayo ni kwa sababu waliasi na wakawa wanapindukia mipaka. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, Anatoa habari kwamba Amewafukuza kutoka kwenye rehema Yake makafiri miongoni mwa Wana wa Isrāīl, kama ilivyoandikwa kwenye kitabu ambacho Mwenyezi Mungu Alikiteremsha kwa Dāwūd, amani imshukie, nacho ni Zaburi, na kwenye kitabu Alichokiteremsha kwa Īsā, amani imshukie, n…
Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, Anatoa habari kwamba Amewafukuza kutoka kwenye rehema Yake makafiri miongoni mwa Wana wa Isrāīl, kama ilivyoandikwa kweny…