Al-Maidah 5:81 ولو كانوا يومنون بالله والنبي وما انزل اليه ما اتخذوهم اولياء ولاكن كثيرا منهم فاسقون ٨١
وَلَوۡ
كَانُواْ
يُؤۡمِنُونَ
بِٱللَّهِ
وَٱلنَّبِيِّ
وَمَآ
أُنزِلَ
إِلَيۡهِ
مَا
ٱتَّخَذُوهُمۡ
أَوۡلِيَآءَ
وَلَٰكِنَّ
كَثِيرٗا
مِّنۡهُمۡ
فَٰسِقُونَ
٨١
Na lau wangeli kuwa wanamuamini Mwenyezi Mungu, na huyu Nabii, na yaliyo teremshwa kwake, wasingeli wafanya hao marafiki. Lakini wengi katika wao ni wapotofu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na lau hawa Mayahudi ambao wanasaidiana na washirikina walikuwa wamemuamini Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, na Mtume Muhammad , rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, na wakayakubali yale yaliyoteremshwa kwake, nayo ni Qur’ani tukufu, hawangaliwafanya makafiri kuwa ni marafiki na waokozi. Lakini …
Na lau hawa Mayahudi ambao wanasaidiana na washirikina walikuwa wamemuamini Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, na Mtume Muhammad , rehema ya Mwenyezi Mungu …