Al-Maidah 5:98 اعلموا ان الله شديد العقاب وان الله غفور رحيم ٩٨
ٱعۡلَمُوٓاْ
أَنَّ
ٱللَّهَ
شَدِيدُ
ٱلۡعِقَابِ
وَأَنَّ
ٱللَّهَ
غَفُورٞ
رَّحِيمٞ
٩٨
Jueni kwamba Mwenyezi Mungu ni Mkali wa kuadhibu, na ya kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira, na Mwenye kurehemu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Jueni, enyi watu, kwamba Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka na kuwa juu, ni Mkali wa mateso kwa anyemuasi na kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa Kusamehe, ni Mwingi wa rehema kwa anayetubia na kurejea.
Jueni, enyi watu, kwamba Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka na kuwa juu, ni Mkali wa mateso kwa anyemuasi na kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa Kusamehe, ni …