Al-Mursalat 77:11 واذا الرسل اقتت ١١
وَإِذَا
ٱلرُّسُلُ
أُقِّتَتۡ
١١
Na Mitume watakapo wekewa wakati wao, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Mitume watapowekewa wakati na muda wa baina yao na ummah wao na kusemwe,