Al-Mursalat 77:16 الم نهلك الاولين ١٦
أَلَمۡ
نُهۡلِكِ
ٱلۡأَوَّلِينَ
١٦
Kwani hatukuwaangamiza walio tangulia? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwani hatukuawaangamiza walitangulia kati ya umma waliopita kwa kuwakanusha kwao Mitume, kama vile watu wa Nūḥ, ‘Ād na Thamūd?