Al-Mursalat 77:18 كذالك نفعل بالمجرمين ١٨
كَذَٰلِكَ
نَفۡعَلُ
بِٱلۡمُجۡرِمِينَ
١٨
Ndio kama hivi tuwatendavyo wakosefu! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mfano wa uangamizaji huo mkali ndivyo tutakavyowafanya wahalifu kati ya makafiri wa Makkah, kwa kumkanusha kwao Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie.
Mfano wa uangamizaji huo mkali ndivyo tutakavyowafanya wahalifu kati ya makafiri wa Makkah, kwa kumkanusha kwao Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na ama…