Al-Mursalat 77:20 الم نخلقكم من ماء مهين ٢٠
أَلَمۡ
نَخۡلُقكُّم
مِّن
مَّآءٖ
مَّهِينٖ
٢٠
Kwani hatukukuumbeni kwa maji ya kudharauliwa? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Je kwani sisi hatukuwaumba nyinyi, enyi mkusanyiko wa makafiri, kutokana na maji dhaifu yaliyo matwevu nayo ni tone la manii,