Al-Mursalat 77:24 ويل يوميذ للمكذبين ٢٤
وَيۡلٞ
يَوۡمَئِذٖ
لِّلۡمُكَذِّبِينَ
٢٤
Ole wao siku hiyo hao wanao kanusha! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Maangamivu na adhabu kali Siku ya Kiyama kwa wenye kukanusha uweza wetu.