Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
77:29
انطلقوا الى ما كنتم به تكذبون ٢٩
ٱنطَلِقُوٓا۟ إِلَىٰ مَا كُنتُم بِهِۦ تُكَذِّبُونَ ٢٩
ٱنطَلِقُوٓاْ
إِلَىٰ
مَا
كُنتُم
بِهِۦ
تُكَذِّبُونَ
٢٩
Nendeni kwenye adhabu mliyo kuwa mkiikanusha! 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadithi
Wataambiwa makafiri Siku ya Kiyama, «Endeni kwenye adhabu ya moto wa Jahanamu mliokuwa mkiukanusha duniani.