Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
077

Al-Mursalat 77:30 انطلقوا الى ظل ذي ثلاث شعب ٣٠

77:30
ٱنطَلِقُوٓاْ
إِلَىٰ
ظِلّٖ
ذِي
ثَلَٰثِ
شُعَبٖ
٣٠
Nendeni kwenye kivuli chenye mapande matatu! 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Endeni mjifinike kwenye kivuli cha moshi wa moto wa Jahanamu ambacho hapo panachembuka vipande vitatu.
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 77, Ukurasa 581, Juzuu 29

25. Kwani hatukuifanya ardhi yenye kukusanya 26. Walio hai na maiti? 27. Na ndani yake tukaweka milima mirefu yenye kuthibiti, na tunakunywesheni maji matamu? 28. Ole wao siku hiyo hao wanao kanusha! 29. Nendeni kwenye adhabu mliyo kuwa mkiikanusha! 30. Nendeni kwenye kivuli chenye mapande matatu! 31. Hakikingi moto, wala hakiwaepushi na mwako. 32. Hakika Moto huo unatoa macheche kama majumba! 33. Kama kwamba ni ngamia wa rangi ya manjano! 34. Ole wao siku hiyo hao wanao kanusha! 35. Hii ni siku ambayo hawatatamka kitu, 36. Wala hawataruhusiwa kutoa udhuru. 37. Ole wao siku hiyo hao walio kanusha! 38. Hii ndiyo siku ya kupambanua. Tumekukusanyeni nyinyi na walio tangulia. 39. kiwa mnayo hila, nifanyieni hila Mimi! 40. Ole wao siku hiyo hao walio kanusha!

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia