Al-Mursalat 77:33 كانه جمالت صفر ٣٣
كَأَنَّهُۥ
جِمَٰلَتٞ
صُفۡرٞ
٣٣
Kama kwamba ni ngamia wa rangi ya manjano! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kama kwamba hizo cheche za moto wa Jahanamu zinazopaa juu ni ngamia weusi ambao rangi yao imeingia kwenye umanjano.»