Al-Mursalat 77:38 هاذا يوم الفصل جمعناكم والاولين ٣٨
هَٰذَا
يَوۡمُ
ٱلۡفَصۡلِۖ
جَمَعۡنَٰكُمۡ
وَٱلۡأَوَّلِينَ
٣٨
Hii ndiyo siku ya kupambanua. Tumekukusanyeni nyinyi na walio tangulia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hii ni Siku ambayo Mwenyezi Mungu Atatoa uamuzi baina ya viumbe, na ukweli na ubatilifu utapambanuka. Tutawakusanya nyinyi Siku hiyo, enyi makafiri wa ummah huu, pamoja na makafiri wa mwanzo miongoni mwa ummah waliopita.
Hii ni Siku ambayo Mwenyezi Mungu Atatoa uamuzi baina ya viumbe, na ukweli na ubatilifu utapambanuka. Tutawakusanya nyinyi Siku hiyo, enyi makafiri wa…