Al-Mursalat 77:40 ويل يوميذ للمكذبين ٤٠
وَيۡلٞ
يَوۡمَئِذٖ
لِّلۡمُكَذِّبِينَ
٤٠
Ole wao siku hiyo hao walio kanusha! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Maangamivu na adhabu kali Siku ya Kiyama kwa wenye kuikanusha Siku ya Kiyama.