Al-Mursalat 77:48 واذا قيل لهم اركعوا لا يركعون ٤٨
وَإِذَا
قِيلَ
لَهُمُ
ٱرۡكَعُواْ
لَا
يَرۡكَعُونَ
٤٨
Na wakiambiwa: Inameni! Hawainami. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wanapoambiwa hawa washirikina, «Mswalieni Mwenyezi Mungu na mnyenyekeeni,» hawanyenyekei wala hawaswali, bali wanaendelea kuonyesha kiburi chao.