Al-Mursalat 77:7 انما توعدون لواقع ٧
إِنَّمَا
تُوعَدُونَ
لَوَٰقِعٞ
٧
Hakika mnayo ahidiwa bila ya shaka yatakuwa! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika jambo la Kiyama mnaloahidiwa pamoja na lile la kuhesabiwa na kulipwa ni lenye kuwa hapana shaka.