Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
083

Al-Mutaffifyn 83:15 كلا انهم عن ربهم يوميذ لمحجوبون ١٥

83:15
كـَلَّآ
إِنَّهُمۡ
عَن
رَّبِّهِمۡ
يَوۡمَئِذٖ
لَّمَحۡجُوبُونَ
١٥
Hasha! Hakika hao siku hiyo bila ya shaka watazuiliwa na neema za Mola wao Mlezi. 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Na hakika zimezibwa nyoyo zao zikawa hazimkubali Mwenyezi Mungu. Na kile kilichoziziba nyoyo hizo ni kufinikwa na wingi wa madhambi wanayoyafanya. Mambo hayako kama vile wanavyodai makafiri! Bali hakika wao, Siku ya Kiyama watazibwa wasimuone Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka na kushinda. Aya hii ni ushah…
Na hakika zimezibwa nyoyo zao zikawa hazimkubali Mwenyezi Mungu. Na kile kilichoziziba nyoyo hizo ni kufinikwa na wingi wa madhambi wanayoyafanya. Mam…
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 83, Ukurasa 588, Juzuu 30

1. Ole wao hao wapunjao! 2. Ambao wanapo jipimia kwa watu hudai watimiziwe. 3. Na wao wanapo wapimia watu kwa kipimo au mizani hupunguza. 4. Kwani hawadhani hao kwamba watafufuliwa . 5. Katika Siku iliyo kuu! 6. Siku watapo msimamia watu Mola Mlezi wa walimwengu wote? 7. Hasha! Hakika maandiko ya wakosefu bila ya shaka yamo katika Sijjin. 8. Unajua nini Sijjin? 9. Kitabu kilicho andikwa. 10. Ole wao siku hiyo kwa wanao kadhibisha! 11. Ambao wanaikadhibisha Siku ya Malipo. 12. Wala haikadhibishi ila kila mwenye kuruka mipaka, mwenye dhambi. 13. Anapo somewa Aya zetu husema: Ni visa vya watu wa kale! 14. Hasha! Bali yametia kutu juu ya nyoyo zao hao walio kuwa wakiyachuma. 15. Hasha! Hakika hao siku hiyo bila ya shaka watazuiliwa na neema za Mola wao Mlezi. 16. Kisha wataingia Motoni! 17. Kisha waambiwe: Haya ndiyo mliyo kuwa mkiyakadhabisha.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia