Al-Mutaffifyn 83:18 كلا ان كتاب الابرار لفي عليين ١٨
كـَلَّآ
إِنَّ
كِتَٰبَ
ٱلۡأَبۡرَارِ
لَفِي
عِلِّيِّينَ
١٨
Hasha! Hakika maandiko ya watu wema bila ya shaka yamo katika I'liyyin. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ni kweli kabisa kwamba kitabu cha watu wema, nao ni wachamungu, kiko katika ngazi za juu Peponi.