Al-Mutaffifyn 83:27 ومزاجه من تسنيم ٢٧
وَمِزَاجُهُۥ
مِن
تَسۡنِيمٍ
٢٧
Na mchanganyiko wake ni Tasniim, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kinywaji hiki, mchanganyo wake watokana na chemchemi iliyoko Peponi linalojulikana, kwa ubora wake, kwa jina la Tasnīm.