Al-Mutaffifyn 83:7 كلا ان كتاب الفجار لفي سجين ٧
كـَلَّآ
إِنَّ
كِتَٰبَ
ٱلۡفُجَّارِ
لَفِي
سِجِّينٖ
٧
Hasha! Hakika maandiko ya wakosefu bila ya shaka yamo katika Sijjin. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika marejeo ya watu waovu na makazi yao yatakuwa katika hali ya dhiki.