Al-Muumin 40:19 يعلم خاينة الاعين وما تخفي الصدور ١٩
يَعۡلَمُ
خَآئِنَةَ
ٱلۡأَعۡيُنِ
وَمَا
تُخۡفِي
ٱلصُّدُورُ
١٩
(Mwenyezi Mungu) anajua khiyana ya macho na yanayo ficha vifua.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na kila sifa ya upungufu, Anakijua kile kinachopitishwa na maangalizi ya macho kwa njia ya siri na kuiba na kile ambacho mtu anakidhamiria katika nafsi yake kizuri au kibaya.
Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na kila sifa ya upungufu, Anakijua kile kinachopitishwa na maangalizi ya macho kwa njia ya siri na kuiba na kile ambacho…