Al-Muumin 40:44 فستذكرون ما اقول لكم وافوض امري الى الله ان الله بصير بالعباد ٤٤
فَسَتَذۡكُرُونَ
مَآ
أَقُولُ
لَكُمۡۚ
وَأُفَوِّضُ
أَمۡرِيٓ
إِلَى
ٱللَّهِۚ
إِنَّ
ٱللَّهَ
بَصِيرُۢ
بِٱلۡعِبَادِ
٤٤
Basi mtayakumbuka ninayo kuambieni. Nami namkabidhi Mwenyezi Mungu mambo yangu. Hakika Mwenyezi Mungu anawaona waja wake.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Alipowasihi na wasimkubalie aliwaambia, «Basi mtakumbuka kuwa mimi niliwasihi na nikawakumbusha, na mtajuta wakati ambao majuto hayatanufaisha. Na mimi ninahamia kwa Mola wangu nataka hifadhi Yake na ninamtegemea Yeye, hakika Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na kutukuka, ni Mtambuzi wa hali za waja na …
Alipowasihi na wasimkubalie aliwaambia, «Basi mtakumbuka kuwa mimi niliwasihi na nikawakumbusha, na mtajuta wakati ambao majuto hayatanufaisha. Na mim…