Al-Muumin 40:63 كذالك يوفك الذين كانوا بايات الله يجحدون ٦٣
كَذَٰلِكَ
يُؤۡفَكُ
ٱلَّذِينَ
كَانُواْ
بِـَٔايَٰتِ
ٱللَّهِ
يَجۡحَدُونَ
٦٣
Namna hivi ndivyo walivyo geuzwa walio kuwa wakizikataa Ishara za Mwenyezi Mungu.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kama mlivyoikanusha haki, enyi makafiri wa Kikureshi, na mkaipa mgongo na mkaenda kwenye ubatilifu, hivyo ndivyo wanavyopotoshwa na haki na kuiamini wale waliokuwa wakizikanusha hoja za Mwenyezi Mungu na dalili Zake.
Kama mlivyoikanusha haki, enyi makafiri wa Kikureshi, na mkaipa mgongo na mkaenda kwenye ubatilifu, hivyo ndivyo wanavyopotoshwa na haki na kuiamini w…