Al-Muuminun 23:106 قالوا ربنا غلبت علينا شقوتنا وكنا قوما ضالين ١٠٦
قَالُواْ
رَبَّنَا
غَلَبَتۡ
عَلَيۡنَا
شِقۡوَتُنَا
وَكُنَّا
قَوۡمٗا
ضَآلِّينَ
١٠٦
Mola wetu Mlezi! Tulizidiwa na uovu wetu na tukawa watu tulio potea. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wakikubali kuwa Mitume wao waliwapelekea ujumbe na wakawaonya, watasema Siku ya Kiyama, «Mola wetu! Raha zetu, na pia matamanio yetu yalikadiriwa kwetu kwenye ujuzi wako uliotangulia, zilitutawala na kwa hivyo tukawa, katika matendo yetu, ni wenye kupotea na kuwa kando ya njia ya uongofu.
Wakikubali kuwa Mitume wao waliwapelekea ujumbe na wakawaonya, watasema Siku ya Kiyama, «Mola wetu! Raha zetu, na pia matamanio yetu yalikadiriwa kwet…