Al-Muuminun 23:108 قال اخسيوا فيها ولا تكلمون ١٠٨
قَالَ
ٱخۡسَـُٔواْ
فِيهَا
وَلَا
تُكَلِّمُونِ
١٠٨
Atasema Mwenyezi Mungu: Tokomeeni humo, wala msinisemeze. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mwenyezi Mungu, Aliyeshinda na kutukuka, Atawaambia, «Kaeni Motoni mkiwa wanyonge wala msiseme na mimi.» Hapo yatakatika maombi yao na matumaini yao.