Al-Muuminun 23:109 انه كان فريق من عبادي يقولون ربنا امنا فاغفر لنا وارحمنا وانت خير الراحمين ١٠٩
إِنَّهُۥ
كَانَ
فَرِيقٞ
مِّنۡ
عِبَادِي
يَقُولُونَ
رَبَّنَآ
ءَامَنَّا
فَٱغۡفِرۡ
لَنَا
وَٱرۡحَمۡنَا
وَأَنتَ
خَيۡرُ
ٱلرَّٰحِمِينَ
١٠٩
Bila ya shaka lilikuwapo kundi katika waja wangu likisema: Mola wetu Mlezi! Tumeamini; basi tusamehe na uturehemu, nawe ndiwe Mbora wa wanao rehemu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Kulikuwa na kundi la waja wangu, nao ni Waumini, wakiomba kwa kusema, ‘Mola wetu! Tumeamini, basi yasitiri madhambi yetu na uturehemu, na wewe ndiye bora wa kurehemu.’
«Kulikuwa na kundi la waja wangu, nao ni Waumini, wakiomba kwa kusema, ‘Mola wetu! Tumeamini, basi yasitiri madhambi yetu na uturehemu, na wewe ndiye …