Al-Muuminun 23:112 قال كم لبثتم في الارض عدد سنين ١١٢
قَٰلَ
كَمۡ
لَبِثۡتُمۡ
فِي
ٱلۡأَرۡضِ
عَدَدَ
سِنِينَ
١١٢
Atasema: Mlikaa muda gani katika ardhi kwa hisabu ya miaka?. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na watu waovu wataulizwa wakiwa Motoni, «Mlisalia miaka mingapi ulimwenguni? Na mlipoteza mangapi huko ya kumtii Mwenyezi Mungu?»