Al-Muuminun 23:16 ثم انكم يوم القيامة تبعثون ١٦
ثُمَّ
إِنَّكُمۡ
يَوۡمَ
ٱلۡقِيَٰمَةِ
تُبۡعَثُونَ
١٦
Kisha hakika nyinyi Siku ya Kiyama mtafufuliwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kisha nyinyi, baada ya kufa na dunia kumalizika, mtafufuliwa mkiwa hai kutoka makaburini mwenu muhesabiwe na mlipwe.