Al-Muuminun 23:2 الذين هم في صلاتهم خاشعون ٢
ٱلَّذِينَ
هُمۡ
فِي
صَلَاتِهِمۡ
خَٰشِعُونَ
٢
Ambao ni wanyenyekevu katika Swala zao! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wale ambao miongoni mwa sifa zao ni kwamba wao ni wanyenyekevu kwenye Swala zao, nyoyo zinajishughulisha na hiyo Swala tu na viungo vyao vimetulia kwayo.
Wale ambao miongoni mwa sifa zao ni kwamba wao ni wanyenyekevu kwenye Swala zao, nyoyo zinajishughulisha na hiyo Swala tu na viungo vyao vimetulia kwa…