Al-Muuminun 23:34 ولين اطعتم بشرا مثلكم انكم اذا لخاسرون ٣٤
وَلَئِنۡ
أَطَعۡتُم
بَشَرٗا
مِّثۡلَكُمۡ
إِنَّكُمۡ
إِذٗا
لَّخَٰسِرُونَ
٣٤
Na nyinyi mkimt'ii mtu kama nyinyi basi hakika mtakuwa khasarani. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Na lau mtamfuata binadamu kama nyinyi, basi nyinyi mtakuwa wakati huo ni wenye kupata hasara kawa kuwaacha waungu wenu na kumfuata yeye.