Al-Muuminun 23:35 ايعدكم انكم اذا متم وكنتم ترابا وعظاما انكم مخرجون ٣٥
أَيَعِدُكُمۡ
أَنَّكُمۡ
إِذَا
مِتُّمۡ
وَكُنتُمۡ
تُرَابٗا
وَعِظَٰمًا
أَنَّكُم
مُّخۡرَجُونَ
٣٥
Hivyo anakuahidini ati ya kwamba mtakapo kufa na mkawa udongo na mifupa kuwa mtatolewa? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Vipi mtayaamini yale anayowaahidi kwamba nyinyi mkifa na mkawa mchanga na mifupa iliyovunjika vipande-vipande, kuwa mtatolewa kutoka kwenye makaburi yenu mkiwa hai?
«Vipi mtayaamini yale anayowaahidi kwamba nyinyi mkifa na mkawa mchanga na mifupa iliyovunjika vipande-vipande, kuwa mtatolewa kutoka kwenye makaburi …