Al-Muuminun 23:36 ۞ هيهات هيهات لما توعدون ٣٦
۞ هَيۡهَاتَ
هَيۡهَاتَ
لِمَا
تُوعَدُونَ
٣٦
Hayawi! Hayawi hayo mnayo ahidiwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Kwa hakika, liko mbali sana hilo mnaloahidiwa, enyi watu, la kwamba nyinyi mtatolewa makaburini mwenu mkiwa hai baada ya kufa kwenu.