Al-Muuminun 23:42 ثم انشانا من بعدهم قرونا اخرين ٤٢
ثُمَّ
أَنشَأۡنَا
مِنۢ
بَعۡدِهِمۡ
قُرُونًا
ءَاخَرِينَ
٤٢
Kisha tukaleta baada yao vizazi vingine. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kisha tukawaleta, baada ya hawa waliokanusha, ummah na viumbe wengine, kama watu wa Lūṭ, Shu'ayb, Ayyūb na Yūnus, rehema za Mwenyezi Mungu na amani Yake ziwashukie.
Kisha tukawaleta, baada ya hawa waliokanusha, ummah na viumbe wengine, kama watu wa Lūṭ, Shu'ayb, Ayyūb na Yūnus, rehema za Mwenyezi Mungu na amani Ya…