Al-Muuminun 23:46 الى فرعون ومليه فاستكبروا وكانوا قوما عالين ٤٦
إِلَىٰ
فِرۡعَوۡنَ
وَمَلَإِيْهِۦ
فَٱسۡتَكۡبَرُواْ
وَكَانُواْ
قَوۡمًا
عَالِينَ
٤٦
Kumwendea Firauni na wakuu wake. Lakini walijivuna, nao walikuwa watu majeuri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
kwa Fir'awn, hakimu wa Misri, na watukufu wa watu wake ambao walifanya kiburi wakakataa kumuamini Mūsā na ndugu yake. Na wao walikuwa ni watu wanaojiona bora kuliko watu wengine na walikuwa wakiwanyanyasa kwa kuwadhulumu.
kwa Fir'awn, hakimu wa Misri, na watukufu wa watu wake ambao walifanya kiburi wakakataa kumuamini Mūsā na ndugu yake. Na wao walikuwa ni watu wanaojio…