Al-Muuminun 23:57 ان الذين هم من خشية ربهم مشفقون ٥٧
إِنَّ
ٱلَّذِينَ
هُم
مِّنۡ
خَشۡيَةِ
رَبِّهِم
مُّشۡفِقُونَ
٥٧
Kwa hakika hao ambao kwa kumwogopa Mola wao Mlezi wananyenyekea, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika wale ambao kwa kumcha Mola wao wanayaogopa na kujitahadhari na yale Aliyowaogopesha nayo Mwenyezi Mungu Aliyetukuka.