Al-Muuminun 23:58 والذين هم بايات ربهم يومنون ٥٨
وَٱلَّذِينَ
هُم
بِـَٔايَٰتِ
رَبِّهِمۡ
يُؤۡمِنُونَ
٥٨
Na wale ambao Ishara za Mola wao Mlezi wanaziamini, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wale ambao wao wanaziamini aya za Mwenyezi Mungu katika Qur’ani na wanazitumia.