Al-Muuminun 23:68 افلم يدبروا القول ام جاءهم ما لم يات اباءهم الاولين ٦٨
أَفَلَمۡ
يَدَّبَّرُواْ
ٱلۡقَوۡلَ
أَمۡ
جَآءَهُم
مَّا
لَمۡ
يَأۡتِ
ءَابَآءَهُمُ
ٱلۡأَوَّلِينَ
٦٨
Je, hawakuifikiri kauli, au yamewajia yasiyo wafikia baba zao wa zamani? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwani hawayafikirii yaliyomo ndani ya Qur’ani wakapata kujua ukweli wake au limewazuia wao kuamini kwa kuwa wamejiwa na Mtume na kitabu ambacho mfano wake hakikuwajia baba zao wa mwanzo, wakakikanusha kwa ajili hiyo na wakakipa mgongo?
Kwani hawayafikirii yaliyomo ndani ya Qur’ani wakapata kujua ukweli wake au limewazuia wao kuamini kwa kuwa wamejiwa na Mtume na kitabu ambacho mfano …