Al-Muuminun 23:74 وان الذين لا يومنون بالاخرة عن الصراط لناكبون ٧٤
وَإِنَّ
ٱلَّذِينَ
لَا
يُؤۡمِنُونَ
بِٱلۡأٓخِرَةِ
عَنِ
ٱلصِّرَٰطِ
لَنَٰكِبُونَ
٧٤
Na hakika wale wasio iamini Akhera wanajitenga na Njia hiyo. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwa hakika, wale ambao hawaamini kufufuliwa na kuhesabiwa wala hawayafanyii kazi hayo mawili, basi hao wamepotoka kando ya njia ya Dini iliyonyoka, nayo ni dini ya Uislamu.
Na kwa hakika, wale ambao hawaamini kufufuliwa na kuhesabiwa wala hawayafanyii kazi hayo mawili, basi hao wamepotoka kando ya njia ya Dini iliyonyoka,…